BETI NASI UTAJIRIKE

NI SUALA LA MUDA TU MAKAMBO KUREJEA YANGA



Suala la mshambuliaji Heritier Makambo kurejea Yanga sio tetesi tena kwani inaelezwa mchakato wa kumrejesha nchini umekamilika kwa asilimia 90.Wadhamini wa Yanga kampuni ya GSM wako tayari kununua mkataba wake wa miaka miwili uliyobaki Horoya AC

Makambo kwa sasa yuo mapumziko kwao DR Congo baada ya ligi huko Guinea kusimama kama ilivyo hapa nchini kutokana na changamoto ya virusi vya Corona

"Mazungumzo na Makambo yamefanyika, makubaliano binafsi tayari yamefikiwa"
"Kuhusu dau la usajili, GSM wako tayari kutoa fedha kununua mkataba wake. GSM wamejipanga, usajili wa safari hii sio wa majaribio," kilisema chanzo

Post a Comment

0 Comments