BETI NASI UTAJIRIKE

SIKU ZA MIRAJI ATHUMANI KUREJEA DIMBANI ZINAHESABIKAMshambuliaji wa Simba, Miraji Athuman tayari ameanza mazoezi ya peke yake na baada ya wiki mbili atajiunga na wenzake.Nyota huyu aliumia kifundo cha mguu akiwa katika majukumu ya timu ya taifa ya Tanzania dhidi ya Sudan amekuwa nje tangu wakati huo.
Miraji amesema maendeleo yake ni mazuri na wiki mbili zijazo atajumuika pamoja na wenzake

Kwa sasa wachezaji wa Simba wako mapumziko baada ya Serikali kusimamisha shughuli za kimichezo ikiwemo Ligi Kuu Tanzania Bara.

Post a Comment

0 Comments