BETI NASI UTAJIRIKE

LACAZETTE ALIVYOWAHARIBIA WAGONGA NYUNDO WA LONDON WEST HAM UNITED


Klabu ya Arsenal inayoshiriki ligi kuu England imeendelea kufanya vyema baada ya kutopoteza mchezo wa nane mfululizo kwenye ligi hiyo. Arteta alimwamini  Eddie Nketiah na kumwanzisha kama straika mmoja lakini alionekana kuelemewa. Arteta lifanya aamuzi hayo mara baada ya kukosekana kwa Pierre Aubemayang.

Kuingia kwa Lacazzete kuliirejesha Arsenal mchezoni baada ya kufunga bao pekee dakika ya 78 na kuifanya timu hiyo kufikisha pointi 40 kwenye michezo 28 waliyocheza mpaka sasa huku wakibaki nafasi ya 9.

Lacazzette ameendelea kuwa na mwaka mgumu baada ya kufunga bao lake la pili kwa mwaka 2020 na amekuwa hana nafasi ya kudumu ndani ya kikosi ha Arsenal .

Matokeo mengine haya hapa 



Post a Comment

0 Comments