BETI NASI UTAJIRIKE

CORONA ILIVYOHARIBU RATIBA ZA MICHUANO MBALIMBALI YA SOKA BARANI ULAYA

Mechi za Ligi kuu ya soka ya England zitaahirishwa hadi tarehe 3 Aprili kufuatia baadhi ya wachezaji wa ligi hio kupatikana na maambukizi ya virusi vya Corona.
Mashindano yote Ligi ya soka ya Ulaya, mkiwemo Championi Ligi na Ligi ya Ulaya, mechi ambazo zilitarajiwa kuchezwa wiki ijayo, zimeahirishwa kutokana na mlipuko wa coronavirus.
Droo kwa ajili ya raundi ijayo, iliyopangwa kufanyika tarehe 20 Machi, pia imeahirishwa.
Katika Championi Ligi, mechi kati ya Manchester City dhidi ya Real Madrid, Juventus dhidi ya Lyon, Barcelona dhidi ya Napoli na Bayern Munich dhidi ya Chelsea zote zimeahirishwa.
Mechi za Manchester United, Wolves na Rangers katika Ligi ya Ulaya pia zimefutwa.
Mechi zote za robo fainali ya Ligi ya Ulaya ya vijana zilizokuwa zimepangwa kuchezwa tarehe 17 na 18 Machi pia zimesitishwa.
Uefa imesema kuwa maamuzi saidi kuhusu mpangilio wa kuahirisha mechi hizo "yatatolewa baadae".

Klabu ya Juventus imetangaza kwamba beki wa kati wa Italia Daniele Rugani amekutwa na virusi vya corona, na sasa amejiweka katika karantiniHaki miliki ya pichan

Bodi ya Soka ya Ulaya imewaalika wawakili wa wajumbe wa mashirikisho yote 55 kwa mkutano siku ya JUmanne ili kujadili mkakati wa kukabiliana na mlipuko wa coronavirus.
Mechi za Manchester United, Wolves na Rangers katika Ligi ya Ulaya pia zimefutwa.
Mechi zote za robo fainali ya Ligi ya Ulaya ya vijana zilizokuwa zimepangwa kuchezwa tarehe 17 na18 Machi pia zimesitishwa.
Uefa imesema kuwa maamuzi saidi kuhusu mpangilio wa kuahirisha mechi hizo "yatatolewa baadae".
Bodi ya Soka ya Ulaya imewaalika wawakili wa wajumbe wa mashirikisho yote 55 kwa mkutano siku ya JUmanne ili kujadili mkakati wa kukabiliana na mlipuko wa coronavirus.
Uefa imesema kuwa maamuzi saidi kuhusu mpangilio wa kuahirisha mechi hizo "yatatolewa baadae".
Mpangilio wa Euro 2020 utajadiliwa katika mkutano huo.
Zaidi ya watu 125,000 wamepatikana na virusi vya corona katika nchi 118 kote duniani, kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani WHO. Idadi kamili ya vifoo vya watu ni zaidi ya 4,600.
Mechi zilizoahirishwa (zilizotarajiwe kuchezwa kati ya 17-19 Machi)
Champions League:
Bayern Munich dhidi ya Chelsea
Barcelona dhidi ya Napoli
Man City dhidi ya Real Madrid
Juventus dhidi ya Lyon

Mkufunzi wa Arsenal Mikel Arteta na mchezaji wa Chelsea Callum Hudson Odoi wana virusi vya coronaHaki miliki ya picha
Winga wa Chelsea Callum Hudson Odoi pia amepatikana na virusi vya CoronaHaki miliki ya pichan

Europa Ligi:
Bayer Leverkusen dhidi ya Rangers
Getafe dhidi ya Inter Milan
Shakhtar Donetsk dhidi ya Wolfsburg
Wolves dhidi ya Olympiakos
FC Basel dhidi ya Eintracht Frankfurt
FC Copenhagen dhidi ya Istanbul Basaksehir
Manchester United dhidi ya LASK

Post a Comment

0 Comments