BETI NASI UTAJIRIKE

EYMAEL KUKABIDHI MIKOBA KWA MKWASA DHIDI YA NAMUNGO


Kulingana na kanuni mpya za uendeshaji wa ligi, kocha mkuu wa Yanga Luc Eymael huenda akaushuhudia jukwaani mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc kutokana na kuwa na kadi mbili za njano

Eymael amefikisha kadi mbili za njano ambazo alizipata michezo ya Azam Fc na KMC
Mbelgiji huyo ataungana na kiungo Haruna Niyonzima ambaye anakosekana kwa kuwa ana kadi tatu za njano

Kocha Msaidizi Charles Mkwasa huenda akaachiwa majukumu ya kukiongoza kikosi cha Yanga leo

Post a Comment

0 Comments