Kamati ya Utendaji ya Yanga imethibitisha kuwasimamisha Wajumbe wake wawili Salum Rupia na Fran Kamugisha kutokana na matukio ya utovu wa Nidhamu
Wajumbe hao wanaungana na Rodgers Gumbo, Shija Richard na Khamis Kambi waliotangaza kujiuzulu nyadhifa zao mapema leo
Wajumbe hao wanatuhumiwa kuhusika kwenye jaribio la kutaka kuwakwamisha GSM, moja ya wadhamini wa Yanga
0 Comments