BETI NASI UTAJIRIKE

TETESI ZA SOKA DUNIANI LEO JUMANNE TAREHE 11-02-2020

Kiungo wa kati wa Brazil Philippe Coutinho, 27, ameambiwa anaweza kuondoka Barcelona kwa kitita cha chini ya £77m mwisho wa msimu huu huku Manchester United, Chelsea, Manchester City, Tottenham na Liverpool zote zikimnyatia. (Express)
Chelsea inaelekea kumnyakua kipa wa klabu ya Hartlepool na England Brad Young, 17, ambaye pia anasakwa na Manchester United na Arsenal. (Sun)
Mikel Arteta
Mkufunzi wa Arsenal Mikel Arteta amekataa kukubali kwamba timu yake haitakuwa miongoni mwa timu nne bora katika ligi ya Uingereza licha ya kuwa polinti 10 nyumba ya timu iliopo katika nafasi ya nne Chelsea. (Evening Standard)
Kiungo wa kati wa Ufaransa Abdoulaye Doucoure, 27, anataka kucheza katika ligi ya mabingwa na anadai kwamba Hornets haiwezi kumzuia. (Mail)
Abdoulaye DoucoureHaki miliki ya picha
Image caption
Chelsea, Aston Villa na Newcastle United zote zinataka kumsaini beki wa kushoto wa Wigan Antonee Robinson baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 kukosa kuhamia katika klabu ya AC Milan katika siku ya mwisho ya dirisha la uhamisho (Mirror)
Mkufunzi wa zamani wa Arsenal Unai Emery amesema kwamba klabu hiyo imekuwa ikishuka wakati alipowasili na kuwashutumu baadhi ya wachezaji kwa kutokuwa na tabia nzuri. (France Football - in French)
MIpango ya 2020-21 ya klabu ya Manchester imesitishwa kutokana na virusi vya corona baada ya klabu hiyo kupanga kwenda China. (ESPN)

Post a Comment

0 Comments