BETI NASI UTAJIRIKE

SIMBA YATUA DAR KIBABE BAADA YA KUIONDOSHA STENDI UNITED

Kikosi cha Simba Sc kimetimba jijini Dar es salaam kibabe baada ya kuiondosha Stendi United kombe la FA Mchezo iliyopigwa Shinyanga hapo Jana.


Mbali na mchezo huo kumalizika kwa sare ya mabao 1-1  Simba walifanikiwa kuibuka kidedea kwa ushindi wa mikwaju 3-2 dhidi ya wababe hao wa Shinyanga. Meddie kagere na Ibrahim ajib walizua mtafaruku baada ya kukosa penati 2 huku Beno kakolanya akirudisha matumaini kwa kuokoa penalti ya Shinyanga.hizi ni picha za wachezaji wa Simba wakiwa Mwanza airportPost a Comment

0 Comments