Klabu ya Arsenal umeendelea kuonyesha ubabe kwenye michuano ya Europa baada ya kukubali kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Olympiacos.
Mchezo wa Awali Arsenal aliibuka na ushindi wa bao 1-0 ugenini lakini mambo yalibadilika kwenye dimba la Emirates baada ya kukubali kipigo cha bao 2-1 na kufanya matokeo kuwa ni 2-2 hivyo Olympiacos kufuzu kwa bao la ugenini.
Manchester United ilionyesha ubabe wake baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 hhuku Mchezo wa kwanza wakitoka sare ya bao 1-1 dhidi ya club brugge ya nchini Ubeligiji.Manchester United imefuzu hatua ya 16 Bora kwa jumla ya mabao 6-1. Haya hapa ni matokeo ya mechi zilizopigwa jana usiku
0 Comments