BETI NASI UTAJIRIKE

LIPULI YASHUSHA CHUMA KIPYA MWENYEWE AAHIDI MAKUBWA

Timu ya Lipuli FC ya mkoani Iringa imemtambulisha Nzeyimana Mailo raia wa Burundi (pichani) kuwa kocha wake mkuu kwa mkataba wa mwaka mmoja. .


Nzeyimana aliyekuwa akiifundisha timu ya Framboo ya Burundi, anachukua nafasi ya Mrundi mwenzake Harerimana Haruna ambaye alitimkia KMC. .

"Mashabiki naomba tushirikiane, nafasi ya timu katika ligi siyo nzuri wala siyo mbaya lakini ushirikiano ni ahadi pekee ninayohitaji kosa lolote utakaloliona nifuate baadaye uniambie na mimi nitakujibu kutokana na kile nilichokiona", kauli ya Mailo kocha mpya wa Lipuli FC.

Post a Comment

0 Comments