BETI NASI UTAJIRIKE

HAJI MANARA APIGA DILI KUBWA ZAIDI

Ofisa Habari wa Simba Haji Manara amepata dili la kuwa balozi wa bidhaa za Azam Media na Influencer (Mtu wa ushawishi kwenye mitandao) wa La Liga Experience 2020.


Mkataba huo amesaini  Februari,3,2020 kwa ajili ya kufanya kazi na kampuni ya Azam Media.Manara amesema kuwa ni mkataba mwingine utakaompa fursa adhimu ya kufanya kazi na kampuni kubwa zaidi ya habari lakini pia anaamini utaiwezesha kampuni kuendelea kutangaza bidhaa zake sambamba na ligi kuu ya Spain La Liga ambayo Azam tv wanaionyesha.
Post a Comment

0 Comments