BETI NASI UTAJIRIKE

YANGA : WALETENI HAO LIPULI SISI TUKO TAYARI KUWANYOOSHA

Kikosi cha Yanga leo kimeendelea na mazoezi uwanja wa chuo cha Utalii jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Lipuli Fc.Mchezo huo utapigwa kesho Jumatano, Februari 05 kwenye uwanja wa Taifa, saa moja jioni


Kikosi cha Yanga kimeonekana kurudi kwa kasi huku uwepo wa Morrison,Sibomana, Balama,Molinga,Yikpe,Nchimbi na Kaseke ukiwatia joto wapinzani wa timu hiyo.

Post a Comment

0 Comments