BETI NASI UTAJIRIKE

MIQUISSONE AANZA KUONYESHA MAKALI YAKE SIMBA

Kiungo mshambuliaji Luis Miquissone alianza taratibu maisha yake kunako klabu ya Simba lakini sasa ameanza kuuwasha motoShoo aliyoipiga kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar ni ishara kuwa mwamba huyo aliyetokea klabu ya UD Songo ameanza kulizoea soka la Tanzania


Hawa ndio aina ya wachezaji ambao Simba inawahitaji kuelekea michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao.Bila shaka mpaka kufikia mwishoni mwa msimu atakuwa ameiva sawasawa

Kocha Sven Vandenbroeck na Selemani Matola washindwe wenyewe tu, kwani wameletewa kisu kikali kinachoweza kukata hata mifupa!

Post a Comment

0 Comments