BETI NASI UTAJIRIKE

YANGA WATOA UFAFANUZI KUHUSU TUHUMA ZA WIZI ZINAZOMKABILI KIUNGO WAO MPYA

Klabu ya Yanga imejikuta ikitakiwa kutoa ufafanuzi yakinifu kuhusiana na shutuma za wizi zinazomkabili kiungo mshambuliaji wake mpya  Mghana  Bernard Morrison


Mashabiki wa Yanga wameandika "Ni kwamba mchezaji alinunua gari kwa agent na agent hakumlipa mwenye gari.Mmiliki akaenda kureport kwamba gari yake imeibiwa na ameporwa ndio maana alikamatwa na kesi iliisha siku hiyo hiyo baada ya ukweli kujulikana kwamba yeye kanunua gari kwa agent na agent hakumlipa mwenye gari pesa ya manunuzi."

Taarifa hizo zilizagaa mara baada ya Yanga kutangaza kumnunua kiungo huyo kutoka DC Motema Pembe

Post a Comment

0 Comments