BETI NASI UTAJIRIKE

PICHA :YANGA AMKENI MASHINE YENU MPYA IMESHAWASILI KAMBINI

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Bernard Morrison ametua nchini asubuhi ya leo tayari kuanza kazi na mabingwa hao wa kihistoria. Kiungo huyo ameua na kujiunga na kambi ya Yanga kwa ajili ya mchezo dhidi ya Azam utakaopigwa kesho jioni Dimba la Taifa jijini Dar es salaam. Morrison amesajiliwa na Yanga dirisha dogo akitokea klabu ya DC Motema Pembe ya DR CongoUjio wake utaongeza uimara wa safu ya ushambuliaji hasa pembeni kwani kwa asili yeye hucheza winga
Post a Comment

0 Comments