Suala la Mohammed Dewji kutangaza kujitoa bodi ya wakurugenzi Simba limewagusa mashabiki na wanachama wa Simba akiwemo mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Bwana Paul Makonda. Kupitia ukurasa wake wa Instagram makonda ameonekana kutokubali
Ujumbe ulioandikwa na Mohammed Dewji na aliujibu kupitia mitandao ya kijamiii.je yupo sahihi
0 Comments