Luc anasema mara baada ya mpira kumalizika alimfuata refa huyo kumpa mkono lakini refa huyo alikataa na kitendo hicho kilimfanya Luc ajione amebaguliwa kutokana na kuwa yeye ni mzungu. Malalamiko ya Luc yamepokelewa na bodi ya ligi na wamejishaunda kamati ya masaa 72 kwa ajili ya kumuhoji refa huyo na kutoa majibu
0 Comments