BETI NASI UTAJIRIKE

TAARIFA MUHIMU KWA WANAYANGA WOTE

Uongozi wa klabu ya Yanga umetoa taarifa rasmi kuhusu wachezaji waliosajiliwa, kuachwa pamoja na wale waliotolewa kwa mkopo


Taarifa hiyo mpya inaonyesha wachezaji wapya ni saba ambao ni

1. Ditram nchimbi
2. Yikpe Gnamine
3. Haruna Niyonzima
4. Adeyum Saleh
5. Tariq Seif
6. Erick Kabamba (kutoka Zambia)
7. Bernard Morrison

Waliotolewa kwa mkopo
1. Cleofas Sospeter
2. Ali Ali
3. Raphael Daudi

Walioachwa
1. Selemani Mustafa
2. Juma Balinya
3. Sadney Urikhob
4. Maybin kalengo
5. Issa Bigirimana
6. Muharami Issa

Post a Comment

0 Comments