BETI NASI UTAJIRIKE

TAARIFA MPYA ZA BEKI KISIKI WA YANGA "MARCELO"

Beki kisiki wa klabu ya Yanga  Mwarami Issa"Marcelo" amepelekwa Singida United kwa mkopo wa miezi sita. Singida United imekuwa ikifanya vibaya kwa msimu huu na una hatari ya kushuka daraja endapo tu hatua za usajili hazitafanyika kwa wakati.Rais wa Klabu ya Singida United mheshimiwa Mwigulu Nchemba  mesema makubaliano yamefikiwa kwa nyota huyo kutoka Zanzibar. Ikumbukwe Mwigulu Nchemba ndiye aliyefanikisha Marcelo aweze kujiunga na Yanga.

Kwa sasa beki huyo ameshindwa kuwa na nafasi ndani ya kokosi cha Yanga chenye mabeki wenye uwezo mkubwa na amekuwa kiwekwa nje ya uwanja kwa mechi nyingi.

Post a Comment

0 Comments