BETI NASI UTAJIRIKE

SIMBA YAPANIA KULIPA KISASI ZANZIBAR

Kikosi cha Simba leo kitashuka dimba la Gombani kuishughulikia Zimamoto kwenye mchezo wa kombe la mapinduzi. mchezo huo utapigwa majira ya saa 10 mjini pemba.


Michuano hiyo ambayo inafanyika kwa mtindo wa mtoano mwaka huu itaishuhudia Simba ikipambana kutinga nusu fainali . Endapo  Simba itafuzu nusu fainali itavaana na Azam FC waliokwisha fuzu nusu fainali ya michuano hiyo.

Simba imeonekana kuwa na hasira baada ya kupata matokeo mabovu dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa ligi kuu baada ya sare ya mabao 2-2 na sasa hasira za wachezaji zimehamishiwa zanzibar kwenye mchezo dhidi ya Zimamoto. 
Post a Comment

0 Comments