Kikosi cha Simba kiliwasili hapo jana visiwani Pemba kwa ajili ya mchezo wa wa kwanza kombe la mapinduzi dhidi ya Zimamoto. Simba imeondoka jijini Dar es Salaam kwa
machungu baada ya sare dhidi ya mabao 2-2 dhidi ya Yanga. Simba imeonekana kutangaza kiama kwa timu yoyote itakayokutana nayo kwenye michuano hiyo baada ya kupeleka kikosi kamili kwenye michuano hiyo.
kama Simba itashinda mchezo huo itafuzu moja kwa moja nusu fainali. Kama Simba na Yanga zitacheza kwa umakini mkubwa na kushinda mechi zake basi kunauwezekano zikakutana huko mbele kwenye michuano.
Hizi hapa picha za Simba wakiwasili visiwani Pemba
0 Comments