Shiza kichuya ni jina hatari zaidi kwa timu pinzani kwani uwezo wake mkubwa ulimfanya kuwa gumzo miongoni mwa wapenzi wa soka la Tanzania.
Mchezaji huyo alikuwa sehemu ya kikosi cha kikosi cha wekundu hao wa Msimbazi hapo awali kabla ya kuelekea Misri kucheza soka la kulipwa.
Haijafahamika kipi kimemkuta Kichuya huko Misri lakini mabosi wake wa zamani wameamua kumrejesha kazini Msimbazi.Inaelezwa kuwa Kichuya amesaini mkataba wa miaka miwili.
0 Comments