BETI NASI UTAJIRIKE

SIMBA :TUPO TAYARI KUCHUKUA POINTI KWA ALLIANCE

Klabu ya Simba imeendelea na mazoezi makali hapo jana kujiandaa na mchezo wa ligi kuu Tanzania dhidi ya Alliance FC ya jijini mwanza mchezo utakaopigwa dimba la CCM jioni ya leo. Simba wapo kileleni mwa ligi kwa pointi 41.


Kama watashinda mchezo wa leo dhidi ya Alliance basi watafikisha pointi 44 na kuwaacha mbali wapinzani wao wa jadi Yanga wejnye pointi 25 kwenye mechi 13 walizocheza huku wakipata kipigo cha 3 kutoka kwa Azam FC mchezo uliopigwa dimba la taifa na Yanga wakipokea kipigo cha bao 1-0. Hizi hapa ni picha za wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi ya mwisho 
Post a Comment

0 Comments