Taifa stars imepangwa kundi J ambalo si gumu sana kutokana na timu hiyo kusheheni vipaji lukuki.Mshambuliaji wa Aston Villa na nahodha wa Taifa stars ni moja ya nyota wanaodhaniwa kuisaidia Taifa staz kuvuka hatua hizo.
Taifa stars itavaana na Madagascar DRC congo na Benin. Taifa stars itapaswa kucheza kwa weredi na kumaliza katika nafasi ya kwanza ili iweze kufuzu hatua za makundi kwa michuano hiyo mikubwa duniani. Haya hapa ni makundi ambayo yanawania nafasi ya kucheza kombe la dunia huku timu tano tu zinatakiwa kwenye michuano hiyo
0 Comments