BETI NASI UTAJIRIKE

SHUHUDIA SAMATTA AKISAINI MKATABA RASMI NA ASTON VILLA

Mshambuliaji makini wa timu ya Taif amefanikiwa kurudisha heshima nyumbani Tanzania na kufikia ndoto zake za kucheza ligi kuu England baada ya kusaini rasmi mikataba Aston VillaMapema jana asubuhi mchezaji huyo aliwasili jijini Birmingham yalipo makao makuu ya Aston Villa kwa ajili ya vipimo na baada ya kufaulu vipimo hivyo mchezaji huyo alisaini rasmi mikataba na klabu hiyo na kumfanya kuwa mtanzania wa kwanza kucheza EPL.

Kwa upande wa Tanzania kil mtu amevutiwa na usajili huo na kumpongeza Samatta huku baadhi ya watanzania wakiandika kwa kiswahili kuitaka klabu hiyo impost staa huyo kwenye mitandao hiyo.                                Samatta akifanyiwa vipimo vya mwili

Baadhi ya mashabiki wa AstonVilla wameweka video za magoli ya Samatta wakifurahishwa na namna anavyocheza na kufunga hii hapa chini ni video ya magoli ya Mbwana Samatta.

Post a Comment

0 Comments