Jana jumapili mechi za ligi mbalimbali ziliendelea kuchezwa huku baadhi zikitupa matokeo ya kushangaza ukiwemo mchezo wa Manchester United kombe la FA wakiibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Tranmere
Haya hapa matokeo ya michezo mingine ikiwemo La Liga,Serie A , Bundesliga, Ligue 1 kwa michezo iliyopigwa hapo jana
0 Comments