BETI NASI UTAJIRIKE

PICHA: SIMBA YAENDELEA KUJIFUA VIKALI MECHI NA AZAM

Kikosi cha Simba kimehamia mji wa Unguja ambako mchezowa nusu fainali kombe la mapinduzi dhidi ya AzamFC utapigwa. Simba imepeleka wachezaji wake wote muhimu 


kuelekea mchezo wake na Azam utakaopigwa hapo kesho saa 2:15 usiku kwenye dimba la Amaan. Hizi ni baadhi ya picha za wachezaji wakiendelea na mazoezi makali kuelekea mchezo huo.Post a Comment

0 Comments