BETI NASI UTAJIRIKE

NI FRANK LAMPARD VS MIKEL ARTETA JE UPO UPANDE GANI USIKU HUU

Ligi kuu England (EPL) inaendelea usiku huu kwa michezo michache huku mchezo unaotegemewa kuwa kivutio zaidi ni ule wa Arsenal ikikaribishwa na Chelsea Stanford Bridge. Mchezo huu utapigwa saa 5:15 Utamu wa mchezo huu ni uwepo wa walimu waliochezea timu zao. Frank Lampard ameicheze Chelsea na sasa anaifundisha timu hiyo huku Mikel Arteta aliyeichezea Arsenal  kwa sasa ndiye kocha mkuu wa timu hiyo. Tupe utabiri wako kuelekea mechi hiyo.

Kikosi cha Chelsea kinachoweza kuanza leo

Kepa; Azpilicueta, Rudiger, Zouma, Emerson; Kante, Jorginho, Mount; Willian, Abraham, Hudson-Odoi 

Kikosi cha Arsenal kinachoweza kuanza leo

Leno; Maitland-Niles, Luiz, Sokratis, Saka; Xhaka, Torreira; Martinelli, Ozil, Pepe; Lacazette 

Mbali na mchezo huo michezo mingine itaanza saa 4:30 usiku huu ikivikutanisha vilabu mbalimbali na hii ndiyo ratiba kamili.Post a Comment

0 Comments