BETI NASI UTAJIRIKE

MUDA WA JUMA KASEJA KUSTAAFU UMEKWISHAWADIA?

Golikipa mkongwe zaidi Tanzania Juma Kaseja ameanza rasmi kozi ya ukocha inayotolewa na shirikisho la Soka Africa (CAF). Kozi ya Ukocha ya Diploma C, kozi hiyo iliyoanza jana makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),


Uwanja wa Karume, Ilala mjini Dar es Salaam. Kozi hiyo ya siku 28 inashirikisha Makocha 30.Aliyewahi kuwa mchezaji wa Simba na taifa Starz Boniface Pawasa naye ni mmoja wa washiriki wa kozi hiyo.
Post a Comment

0 Comments