BETI NASI UTAJIRIKE

PICHA :MTIBWA SUGAR WAENDELEA KUSHEREKEA USHINDI DHIDI YA SIMBA

Klabu ya mtibwa Sugar ni kama imesahau kama Leo jioni itacheza na KMC kwenye Mchezo wa ligi kuu Tanzania bara baada ya hapo jana kukesha wakila pilau la ushindi


wa kombe la mapinduzi michuano iliyofanyika Zanzibar na wao kuibuka mabingwa kwa ushindi wa bao 1-0 alilofunga awadhi salumu.

Kabla ya mechi hiyo viongozi wa Morogoro na mbunge wa Morogoro bwana Abood waliahid zawadi nono endapo wangetwaa kombe hilo mbele ya Simba.

Uwezo wa Mtibwa sugar uliwapa kombe hilo na jana walipata chakula Cha pamoja na jopo la udhamini la Klabu hiyo.hizi ni picha za wachezaji wakipata chakula cha pamoja na uongozi


Post a Comment

0 Comments