BETI NASI UTAJIRIKE

MORRISON KAMA MESSI TU AFUNIKA MAZOEZINI KUELEKEA MCHEZO NA PRISONS

Klabu ya Yanga imeendelea na mazoezi makali kuelekea mchezo wa AZAM SPORT FOOTBALL CUP dhidi ya Prisons ya Mbeya. Mchezo huo utakaopigwa tarehe 26 siku ya jumapili kwenye dimba la uhuru 


Kiungo mshambuliaji aliyesajiliwa hivi karibuni huku akifanya vizuri mechi yake ya kwanza dhidi ya Singida United ameendelea kuoyesha uwezo wa hali ya juu hata mazoezini. Morrison alikuwa moto mkali hapo jana kwenye mazoezi yaliyofanyika viwanja vya chuo cha Sheria jijini Dar es salaam na kuwafanya wachezaji wenzake kummwagia sifa kemkem.Hizi ni baadhi ya picha za mazoezi hayo.Post a Comment

0 Comments