BETI NASI UTAJIRIKE

MOLINGA,MORISSON WAIBUA SHANGWE MAZOEZINI

Kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga Bernard Morrison leo ameshiriki mazoezi kwa mara ya kwanza baada ya kusajiliwa na mabingwa hao wa kihistoria


Morrison alipokewa kwa shangwe na wachezaji wenzake huku Molinga akiongoza shangwe la mapokezi ya winga huyo teleza
Hakuna shaka ujio wake utaongeza zaidi makali ya safu ya ushambuliaji ambayo imesukwa upya

Post a Comment

0 Comments