BETI NASI UTAJIRIKE

MAZOEZI YA MWISHO KWA KLABU YA YANGA KUELEKEA KARIAKOO DERBY

Kikosi cha Yanga kimeendelea kujinoa viali kuelekea mchezo wa ligi kuu Tanzania vbara dhidi ya mahasimu wao Simba. Mchezo utakaopigwa dimba la mkapa hapo kesho januari 


04 huku Simba wakiwa wenyeji wa mchezo huo. Kabla ya kuanz mazoezi ya jioni kulikuwa na utambulisho wa kiungo Haruna Niyonzima na meneja mpya wa timu bwana Abeid Mziba. Hizi ni baadhi ya picha za mazoezi ya Yanga.

Post a Comment

0 Comments