BETI NASI UTAJIRIKE

MASHINE MPYA YA SIMBA KUANZA RASMI KAZI LEO DHIDI YA ZIMAMOTO

Mshambuliaji mpya wa Simba  Luis Miquissone ni miongoni mwa wachezaji waliojumuishwa kwenye kikosi kilichosafiri visiwani Zanzibar kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi .


Simba itashuka dimbani hii le kuikabili Zimamoto katika mchezo wa robo fainali utakaopigwa dimba la Gombani Pemba. kuna uwezekano mwalim Sven akampanga Luis kwenye mchezo huo ili kupima uwezo wake.

Mchezaji huyo hatari alitua Msimbazi Alhamisi iliyopita akitokea UD Songo alikokuwa akicheza kwa mkopo. Mchezaji huyo anategemewa kutumia na mwalimu Sven kama mbadala wa John Bocco na Meddie Kagere.

Post a Comment

0 Comments