BETI NASI UTAJIRIKE

MANCHESTER UNITED ATATOBOA KWA WOLVES? HII RATIBA YA MECHI ZA LEO JUMATANO TAREHE 15-01-2020

Jumatano ya kipekee kwa wapenzi wa soka duniani kwani mechi zenye ushindani zinapigwa siku ya leo. Manchester United vs Wolves ni moja ya mechi zinazosubiriwa kwa hamu. Michezo mingine mikubwa ni Yanga Vs Kagera sugar na ule wa PSG vs Monaco


Hii hapa ratiba kamili ya michezo mbalimbali inayopigwa siku ya leo kuanzia mchana mpaka ile itakayopigwa usiku wa manane.

VodacomPremierLeague

16:00 Yanga SC vs Kagera Sugar
19:00 Azam FC vs Lipuli FC
:
England - FA Cup
22:45 Carlisle United vs Cardiff City
22:45 Manchester United vs Wolverhampton Wanderers
:
Italy - Coppa Italia
17:00 Fiorentina vs Atalanta
10:00 Milan vs SPAL
22:45 Juventus vs Udinese
:
France - Ligue 1
21:00 Nimes vs Rennes
21:00 Amiens vs Reims
23:00 Monaco vs Paris Saint-Germain
:
International - Friendlies

15:00 Bangladesh vs Palestine
:
International - Club Friendlies
16:00 SoenderjyskE vs AC Horsens
19:00 Kriens vs Xamax
21:00 Hartberg vs SC Weiz
:
Egypt - Premier League
19:00 El Gounah vs El Zamalek
21:30 Al Ahly vs Tanta
:
Kenya - Premier League
14:00 Chemelil Sugar vs Gor Mahia
:
Morocco - Botola Pro
18:00 Renaissance Club Zemamra va RSB Berkane
22:00 Ittihad Tanger vs Raja Casablanca
:
South Africa - Premier League
21:30 Bidvest Wits vs Bloemfontein Celtic
21:30 Orlando Pirates vs Mamelodi Sundowns FC
:
Tunisia - Ligue I
17:00 Esperance vs Etoile du Sahel

Post a Comment

0 Comments