BETI NASI UTAJIRIKE

HAYA HAPA MATOKEO YA MECHIZ A EPL JANA JUMANNE TAREHE 21-01-2020

Ligi kuu nchini Uingereza imeendelea hapo jana usiku kwa mechi 6 ngumu. Macho na maskio yalikuwa pale Stanford Bridge kwenye mchezo kati ya Arsenal ikikaribishwa na chelsea mchezo uliomalizika kwa sare ya 2-2


Mbali na mchezo huo mchezo mwingine ni ule wa Watfrod wakichuana na Aston Villa huku macho na maskio yakiwa kwa mbwana Samatta ambaye hata hivyo hakucheza mchezo huo lakii timu yake iliichapa Watford mabao 2-1 . Haya hapa ni matokeo ya mechi zote zilizochezwa usiku wa janaPost a Comment

0 Comments