BETI NASI UTAJIRIKE

LEO NI MANCHESTER UNITED VS MANCHESTER CITY UPO UPANDE GANI?

Kwa mara nyingine tena ndani ya msimu mmoja ahasimu wawili kutoka mji mmoja watakutana kwa mara ya pili kwenye michuano ya kombe la ligi maarufu kama Carabao. 


Mchezo huo wa nusu fainali utapigwa hii leo majira ya saa 5:00 usiku. Mchezo huo wa nguvu utapigwa dimba la Old Trafford na unategemewa kutazamwa na mamilioni ya mashabiki wa soka.

Kama timu moja wapo itashinda mchezo huo basi itakutana na aidha Leicester City au Aston Villa kwenye mchezo wa fainali ya Carabao Cup. Manchester United imekuwa mwiba mkali kwa vilabu vikubwa ligi kuu Uingereza .Mbali na ubora wa Manchester City msimu huu bado walifungwa 2-1 na manchester united kwenye mchezo wa  ligi kuu Uingereza.Post a Comment

0 Comments