BETI NASI UTAJIRIKE

KWA REKODI HIZI KUMBE SIMBA NI "UNDERDOG " TU KWA YANGA

Tukiwa tunaelekea mchezo wa ligi kuu Tanzania bara kati ya Simba na Yanga nimekuandalia rekodi ya timu hizo toka mwaka 1965  mpaka mwaka 2019.Kwenye rekodi hiyo klabu ya Yanga imeendelea kuonyesha ubabe wake kwa klabu ya Simba MAGOLI
Yanga sc imefunga magoli 119 huku simba wakiifunga yanga magoli 99.


MAKOMBE
Simba imetwaa makombe 20 huku yanga ikitwaa 27.

KUFUNGANA
Simba imeifunga yanga mara 28 huku yanga ikiifunga simba mara 36.

DROO.
Zimetoa droo mara 35

Klabu hizo zimecheza michezo 99 huku Yanga ikiwa na rekodi nzuri zaidi kwa kushinda michezo 36 na simba ikishinda michezo  28.


Mbali na rekodi hizo klabu ya Yanga imeendeleza ubabe kwa muongo huu ikishinda makombe Yanga 5 ya ligi kuu ,simba mara 4 na azam mara 1.
:


Post a Comment

0 Comments