BETI NASI UTAJIRIKE

SABABU ZILIZOMBAKISHA MOLINGA ZAWEKWA WAZI

Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael ndiye aliyezuia kuachwa kwa mshambuliaji David Molinga ambaye alikuwa miongoni mwa wachezaji waliokuwa wametemwa dirisha dogo.


  baada ya kuimefahamika.Inaelezwa mfuatilia kupitia video mbalimbali, Eymael aliagiza Molinga arejeshwe kikosini huku akiahidi kuimarisha nidhamu yake

Molinga aliwakera mabosi wa Yanga kwenye mchezo dhidi ya Biashara United pale alipoondoka moja kwa moja uwanjani baada ya kufanyiwa mabadiliko
Tukio hilo lilitafsiriwa kama dharau kwa aliyekuwa kaimu kocha mkuu Charles Mkwasa pamoja na uongozi wa Yanga kwa ujumla.

Baada ya kurejeshwa Molinga amefanya mazoezi na kikosi cha Yanga kwa siku mbili na anaweza kuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabili Azam Fc siku ya Jumamosi katika mchezo wa ligi kuu utakaopigwa uwanja wa Taifa

Post a Comment

0 Comments