Katika jitihada za kuirejesha Yanga katika makali yake, uongozi wa timu hiyo umeunda Kamati Mpya ya Mashindani ambayo itakuwa na wajumbe 22.Kamati hiyo imeundwa siku chache baada ya uongozi kutangaza kuvunja Kamati zote.
Kamati hiyo itaongozwa na Rodgers Gumbo huku Makamu Mwenyekiti akiwa Hamad Islam
Wajumbe walioteuliwa kuunda Kamati hiyo;
1. Eng Hersi Said
2. Beda Tindwa
3. Thobias Lingalangala
4. Edward Urio
5. Max Komba
6. Salum Mkemi
7. Yusuphed Mhandeni
8. Yanga Makaga
9. Adonis Bitegeko
10. Eng Heriel Mhuro
11. Eng Isack Usaka
12. Hassan Hussein
13. Pelegrinius Rutayuga
14. Lameck Nyambaya
15. Kawina Konde
16. Eugen Maro
17. Majid Selemani
18. Said Ntimizi
'19. Mussa Katabaro
0 Comments