Ama kweli maisha yanakimbia mno , unaambiwa jezi atakayovaa mbwana Samatta hainunuliki kirahisi kwani ni gharama mno. Tangu Samatta atue klabu ya Genk kila kitu kimepanda bei klabuni hapo
Kupitia ukurasa wa klabu hiyo imeonyesha bei za jezi kwa daraja la kwanza kwa michezo ya nyumbani yenye jina la Samatta mgingoni msimu wa mwaka 2019-20 ni £ 92.95 ni sawa na Tsh.260,260
Jezi daraja la pili yenye jina la Samatta mgingoni ya msimu wa mwaka 2019-20 ni £ 67.95 ni sawa na Tsh. 190,260
0 Comments