BETI NASI UTAJIRIKE

JE SVEN AENDELEE KUMWAMINI ZAIDI KAKOLANYA MBELE YA MANULA?


Mlinda 
mlango namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya amesema kuwa kwa sasa anataka kuweka rekodi mpya ndani ya Simba kwa kucheza mechi bila kuruhusu mabao mengi.


Kakolanya ataka rekodi mpya Simba SC Kakolanya ambaye nyota yake imejibu kwa Kocha Mkuu, Sven Vanderbroek ambaye amempa nafasi kwenye jumla ya mechi sita kati ya tisa tangu kocha huyo aanze kuinoa Simba akichukua mikoba ya Patrick Aussems.

Mechi hizo ni dhidi ya Arusha FC katika Kombe la FA, Azam FC na Mtibwa Sugar kwenye Kombe la Mapinduzi na za ligi mbele ya Lipuli FC, Mbao na Alliance.

Namshukuru Mungu kwa haya ambayo yanatokea ila malengo makubwa ni kuona naweka rekodi pale ninapopata nafasi ya kutoruhusu bao kabisa, kwani ushindani ni mkubwa nami nashirikiana na wenzagu kuwa bora

Post a Comment

0 Comments