Wallace Karia amekuwa rais bora kwa shirikisho la soka Tanzania huku akiifanya Tanzania kung'ara duniani kwa ubora wa soka. Chini ya utawala wa Karia Taifa stars imeshiriki michuano mikubwa ya AFCON 2019 ,Simba kufuzu hatua ya robo fainali Ligi ya mabingwa Africa , na sasa Taifa Stars inajiandaa kucheza CHAN 2021 nchini Cameroon huku pia ikijindaa kufuzu kombe la dunia mwaka 2022 nchini Qatar. Huu hapa ujumbe wa rais wa FIFA.
0 Comments