BETI NASI UTAJIRIKE

HIVI HAPA VIKOSI KAMILI VYA YANGA NA KAGERA SUGAR MECHI YA LEO

Klabu ya Yanga imetoa orodha ya kikosi kitakachoanza leo dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara. 


kocha Luc aeanga kkosi hicho kutokana na umahilli wa wachezaji wakiwa mazoezini. Swali ni je Kagera Sugar wataachwa salama leo

Hiki hapa kikosi cha Kagera Sugar kilichandaliwa na mwalimu Meck Mexime dhidi ya Yanga mchezo utakaopigwa saa kumi jioni ya leo
Post a Comment

0 Comments