Klabu ya Yanga imetoa kikosi cha wachezaji 18 watakaoanza mechi ya leo dhidi ya Singida United huku kikiwa kimesheheni wachezaji walewale waliocheza na Azam na kufungwa bao 1-0 . Mchezo huo unapigwa dimba la Fiti
Kikosi hicho kimesheheni wachezaji 11 ambao ni Mnata,Juma Abdul,Jaffary Mohammed,MoroMakapu, Tshishimbi,Kaseke,Niyonzima,Balama ,Molinga na mshambuliaji mpya Morrison. Kwa upande wa sabu kuna Shikalo,Adeyun, Makame,Ngassa,Sibomana ,Stanley na Yikpe . Baadhi ya mabeki hawajajumuishwa kwenye kikosi hicho akiwemo Kelvin Yondan, Ally Ally, Dante pamoja na Boxer
0 Comments