Kikosi cha Yanga kiliwasili visiwani Zanzibar kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi . Hapo kesho jumanne Yanga itaanza kampeni yake ya kutwaa kombe la mapinduzi dhidi ya
Jamhuri. Mchezo huo utachezwa majira ya saa mbili na nusu usiku kwenye dimba la Amaan. Kama Yanga atashinda mchezo huo basi atafuzu nusu fainali. Yanga imepeleka wachezaji muhimu kwenye michuano hiyo inayochukua siku 6 kukamilika huku timu shiriki ni Yanga,Simba ,Azam,Jamhuri ,Mtibwa Sugar ,Chipukizi,Mlandege na Zimamoto.
HII HAPA RATIBA NZIMA YA KOMBE LA MAPINDUZI
0 Comments