BETI NASI UTAJIRIKE

HAYA HAPA MATOKEO YA MICHEZO ILIYOPIGWA JANA USIKU

Ligi kuu Uingereza iliendelea tena jana usiku kwa michezo minne huku mchezo wa Manchester United na Burnley  ukipigiwa hesabu na mashabiki wengi. Mchezo huo ulikuwa ni mwiba mkali kwa mashabiki hao.



baada ya kuambulia kipigo cha mabao 2-0 wakiwa uwanja wa nyumbani Old Trafford. Manchester United imefanya vibaya zaidi tangu mwaka 2020 uanze huku wakifungwa na Arsenal, Manchester City,Liverpool, Burnley huku wakishinda mchezo dhidi ya Wolves.

Haya hapa matokeo ya mechi zote 






Post a Comment

0 Comments