Ligi kuu England iliendelea hapo jana kwa mchezo mmoja kati ya Liverpool wakikaribishwa na Wolves kwenye dimba la Moulinex Stadium .
Liverpool walikuwa kwenye kiwango cha hali ya juu mno kwani dakika ya 8 tu walipata bao la kuongoza kupitia Henderson
Kipindi cha kwanza kilimalizika kwa liverpool kuongoza bao 1-0 a kipindi cha pili Wolves waiweza kusawazish kupitia Raul Jimenez dakika ya 51 kabla ya Firmino kuwapa ushindi Liverpool dakika ya 85 n mchezo kumalizika kwa Liverpool 2-1 Wolves. Matokeo ya mechi nyingine ni
0 Comments