BETI NASI UTAJIRIKE

YANGA WATOBOA SIRI YA KUMSAJILI NDUGU YAKE TSHISHIMBI

Erick Kabamba raia wa Zambia ni kiungo mshambuliaji ambaye amesajiliwa na Yanga baada ya benchi la ufundi kujiridhisha na uwezo wake.


Kabamba amekuwa kwenye kikosi cha Yanga kwa zaidi ya wiki mbili akifanya majaribio
Mzambia huyo anamudu nafasi zote za ushambuliaji kutokea pembeni iwe namba 7 au 11

Inaelezwa alionyesha ubora kumzidi Mcongoman Owe Bonyanga ambaye Yanga ilimleta nchini lakini haikumsajili baada ya kushindwa kulishawishi benchi la ufundi

Post a Comment

0 Comments