BETI NASI UTAJIRIKE

UNATAKA KUMWONA LIVE MOLINGO AKIIFUNGA SINGIDA UNITED LEO?

Klabu ya Yanga inajiandaa na mchezo wa ligi kuu Tanzania bara utakaopigwa leo majira ya saa 10:00 jioni dimba la namfua dhidi ya Singida. Mchezo  huo unategemewa kuwa na ushindani mkubwa .


Tiketi za mchezo wa ligi kuu kati ya Singida United dhidi ya Yanga ambao utapigwa leo kwenye uwanja wa Namfua, zimeanza kuuzwa asubuhi hii kwa wanaohitaji tiketi hizo wanatakiwa wa SIREFA Post a Comment

1 Comments